/image%2F6753743%2F20241115%2Fob_dbabfc_cover-recto.png)
🇹🇿 wasifu : jane d. mwanizuwa sabini (jane davis).ni mwandishi chipukizi wa simulizi riwaya na tungo za kishairi. alizaliwa tarehe 20 januari mnamo mwaka 1995 huko wilaya ya uyui mkoani tabora. alipata elimu ya msingi igoko shule ya msingi na elimu ya upili kazehill sekondari. baada ya kupata ulemavu wa miguu na masikio akiwa kidato cha pili