Pas encore inscrit ? Creez un Overblog!

Créer mon blog
Popote Ulipo Duniani

Popote Ulipo Duniani

Naitwa Janvier Nshimyumukiza. Nasoma mkondo wa Utangazaji na Upashaji habari katika Chuo Kikuu cha Rwanda tangu mwaka 2010. Mimi ni mhariri na mtangazaji pia wa Idhaa ya Kiswahili ya Radio Salus iitwayo Ongea na Radio Salus niliyoingia febr.20
Tags associés : habari muhimu

Ses blogs

Popote Ulipo Duniani

POPOTE ULIPO ni blogu ya habari motomoto na za kuaminika kutoka sehemu mbalimbali duniani. Blogu hii imedhaminiwa kwa madhumuni ya kukabiliana na uhaba wa habari ambao umekuwa ukipelekea watu wengi kukawia kufahamu nini kinajiri duniani. Matangazo yetu hupitishwa kwa lugha ya Kiswahili ikiwa na lengo la kuimarisha sura ya lugha hiyo ya Shaban Robert ulimwenguni mbali na kuwajulisha Waswahili na Wapenzi wa Kiswahili kwa ujumla matukio ya kila kukicha. Uungaji mkono wenu ni wa thamani.
Popote Ulipo Duniani Popote Ulipo Duniani
Articles : 14
Depuis : 30/06/2011
Categorie : Économie, Finance & Droit

Articles à découvrir

Msichana wa miaka 10 ajifungua mtoto

Msichana wa miaka 10 ajifungua mtoto

Msichana mmoja wa nchini Kolombia mwenye umri wa miaka 10 tu amewashangaza watu wengi alipojifungua salama mtoto wa kike. Cha kushangaza mno ni kwamba binti huyo ambaye amekuwa miongoni mwa wasichana wenye umri mdogo duniani kujifungua mtoto amegoma katakata kumunyonyesha mwanawe huyo. Alipowasilishwa hospitalini akivuja damu, madaktari walilazimik
Wanachama 6 wa FRONADER Ingabo z' Umwami wapandishwa kizimbani

Wanachama 6 wa FRONADER Ingabo z' Umwami wapandishwa kizimbani

Wanajeshi 6 wanaojitambulisha kama wanachama wa FRONADER Ingabo z’ Umwami, yaani FRONADER Majeshi ya Mfalme kwa kiswahili, ijumaa iliyopita walifikishwa kwenye mahakama kuu ya Nyarugenge. Washukiwa sita wanaokiri kuwa wanachama wa FRONADER Ingabo z' Umwami Wanajeshi hao wote 6 wanakabiliwa na tuhuma za kuhatarisha usalama wa taifa, kuunda kundi l
Atumia njia ya kikatili kumuua mkewekwa kumkalisha kwenye kiti cha umeme ili kumteketeza

Atumia njia ya kikatili kumuua mkewekwa kumkalisha kwenye kiti cha umeme ili kumteketeza

Mwanamume mmoja nchini Uingereza ajulikanaye kama Andrew Castle alikumbwa na huzuni zilizoambatana na stress baada ya mke wake kuomba talaka ili kuivunja ndoa yao Andrew Castle mwenye umri wa miaka 61 hakuweza kuvumilia kuona ndoa yao inavunjika kiasi cha kwamba aliandaa mpango wa kumuua mkewe kwa kumkalisha kwenye kiti cha umeme. Andrew alikiandaa

Bahati ya mwisho kwa wauza mihadarati

Serikali ya Rwanda inawashauri wale wote wanaohusika na biashara ama ulanguzi wa madawa ya kulevya kusitisha shughuli zao hizo katika msimu wa miezi sita, la sivyo watachukuliwa hatu kali mno. Katika mahojiano na waandishi wa habari mjini Kigali, waziri wa vijana na mawasiliano Philbert Nsengimana amesema wauza mihadarati kama vile bangi wamepewa m
Sudan Kusini yajitangazia uhuru wake na kuwa taifa jipya kuzaliwa duniani

Sudan Kusini yajitangazia uhuru wake na kuwa taifa jipya kuzaliwa duniani

Sudan Kusini imejitenga na Kaskazini na kutangaza rasmi uhuru wake na kuwa taifa jipya kuzaliwa duniani. Nchi mpya ya Sudan Kusini ambayo Mji wake mkuu ni Juba, itakuwa na utajiri wa mafuta lakini itakuwa moja ya nchi maskini kabisa duniani kutokana na mapigano yaliyoikumba kwa muda mrefu. mapigano hayo yalipelekea watoto kutopata nafasi ya kujifun
Hayati Nibishaka Aimable azikwa

Hayati Nibishaka Aimable azikwa

Ijumaa iliyopita mamia ya watu wakiwemo jamaa, marafiki walikuwa wamefurika kwenye majengo ya Bunge hapo Kimihurura kumuaga na kumsindikiza hadi kwenye maziara Marehemu Nibishaka Aimable, ambaye alifariki siku ya jumatatu, julai 4 mwaka huu. Ujumbe wa kuomboleza wa rais Paul Kagame uliotolewa kwa bunge na waziri Protais Musoni , ulielezea kuwa haya

Kifo cha Kanumba bado utata

Wapenzi wa filamu za kitanzania wanaomboleza kifo cha nguli wa filamu za bongo Steven Kanumba ambaye ametutoka usiku kuamkia jumamosi. Kwa wale wasiomjua vizuri, Steven Kanumba ni mmojawapo ya wahusika wakuu katika filamu iitwayo OPRAH. Waganga walichunguza maiti yake na kuja kuhakikisha kwamba Kanumba alikufa akiwa amelewa ndi pombe aina ya Jack D
Ubeljiji: Atiwa nguvuni kwa kukana mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi.

Ubeljiji: Atiwa nguvuni kwa kukana mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi.

Mnyarwanda aliyetambulika kama Boniface Rutayisire ambaye ndiye mwasisi na kiongozi wa shirika la TUBEHO TWESE ASBL ametiwa mbarini na polisi wa nchini Ubeljiji kufuatia kuongoza maandamano ya kukana mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi Boniface ameongoza maandamano hayo hapo jumamosi wakati siku hiyo hiyo Rwanda imeingia katika wiki ya matanga na ma
Wawili wafikishwa mahakamani kuhusiana na kifo cha Jean Leonard Rugambage

Wawili wafikishwa mahakamani kuhusiana na kifo cha Jean Leonard Rugambage

Jana wamewasilishwa mahakamani watu wawili wanaoshikiliwa kwa madai kwamba wanahusiana na kifo cha Jean Leonard Rugambage alias sheriff ambaye alikuwa mhariri msaidizi wa gazeti la Umuvugizi. Washukiwa hao ni pamoja na Nduguyangu Didace aliyewahi kuwa mwanajeshi, na Karemera Antoine aliyekuwa afisa wa polisi. Marehemu Jean Leonard rugambage Nduguya

Mwandishi wa habari ashikiliwa kwa itikadi kali ya mauaji ya kimbari

Ngazi za usalama zinamshikilia mwandishi wa habari wa Radio Huguka 105.9 FM tangu jumanne Aprili 24, baada ya mwandishi huyo kutamka maneno yenye itikadi yali ya mauaji ya kimbari kupitia taarifa ya habari aliyoisoma asubuhi ya jumapili Aprili 22. Mtangazaji huyo anaitwa Habarugira Epaphrodite. Kulingana na ripoti ya gazeti la Igihe ambalo ndilo ch