Pas encore inscrit ? Creez un Overblog!

Créer mon blog
DL2A Buluu Publishing
D

DL2A Buluu Publishing

SIREN 801 114 968

Ses blogs

DL2A Buluu Publishing

Diffusion des littératures en langues africaines (DL2A) Buluu Publishing is a publishing house incorporated in Paris, France. The company is specialized in edition in African languages.
DL2A Buluu Publishing DL2A Buluu Publishing
Articles : 29
Depuis : 24/09/2021
Categorie : Associations & ONG

Articles à découvrir

My Grandpa's Garden, Zanzibar Poems

My grandpa's garden, zanzibar poems

🇬🇧 my grandpa's garden, zanzibar poems a presentation of a collection of poems, coupled with artistic photographs, produced by a brilliant zanzibar-born artist, photographer, author and theatrical producer, issak esmail issak. what started as individual friday greetings to close friends and family, later became a treasure trove that had to be
Maisha Yangu Na Ninayoyakumbuka

Maisha yangu na ninayoyakumbuka

🇹🇿 katika kitabu hiki, mohammed abdulrahman mkufunzi anafanya tafkari ya safari ya zaidi ya miongo sita ya maisha yake, akielezea yale anayoyakumbuka, kwa kuyasikia kutoka kwa wazee, kuyaona kwa macho yake na kuyaishi tokea utotoni mwake hadi utuuzimani. kitabu kimesheheni maelezo ya kihistoria yanayozihusu nchi tatu kuu muhimu zenye mnasaba
Chozi langu litafutwa lini ?

Chozi langu litafutwa lini ?

🇹🇿 wasifu : jane d. mwanizuwa sabini (jane davis).ni mwandishi chipukizi wa simulizi riwaya na tungo za kishairi. alizaliwa tarehe 20 januari mnamo mwaka 1995 huko wilaya ya uyui mkoani tabora. alipata elimu ya msingi igoko shule ya msingi na elimu ya upili kazehill sekondari. baada ya kupata ulemavu wa miguu na masikio akiwa kidato cha pili
Hoddu

Hoddu

🇬🇧 do you hear the notes plucked as the griot tunes his hoddu? when a peul griot from sénégal plays his hoddu he sings family histories, praise songs, traditional tales and epics. within these songs there are questions of identity, and of how people conduct themselves when facing adversity. it is fitting to link that tradition to this colle
Usawiri wa Ualbino katika Fasihi ya Kiswahili

Usawiri wa ualbino katika fasihi ya kiswahili

🇹🇿 kitabu cha usawiri wa ualbino katika fasihi ya kiswahili kinachunguza changamoto zinazowakabili watu wenye ualbino nchini tanzania, ambapo wanakabiliwa na athari za mionzi ya jua na matatizo ya kuona. utafiti unaonesha umuhimu wa elimu katika kubadilisha mtazamo hasi dhidi ya ualbino na kujenga jamii inayojumuisha kila mtu. aidha, kitabu k
A Zanzibar architect’s unsung legacy

A zanzibar architect’s unsung legacy

🇬🇧 a zanzibar architect’s unsung legacy the story of ajit singh hoogan architect, artist, philanthropist, followed by sportsman and mp, the story of parmukh singh hoogan ajit singh, a zanzibar architect who also was a painter, a man of the arts, whose signature is on many an edifice in zanzibar, remains fairly unknown, little mentioned. not
Baraza ya Majestic na Machinjioni kwa Bamkwe

Baraza ya majestic na machinjioni kwa bamkwe

🇹🇿 kwa lugha nyepesi ya kiswahili fasaha, kiunguja, ibrahim mohammed hussein, anasimuliya kwa uwazi na ujasiri mkubwa, yale yaliyomsibu baada ya kuuwawa rais wa kwanza wa iliyokuwa jamhuri ya watu wa zanzibar, na mwenyekiti wa kwanza wa baraza la mapinduzi, sheikh abeid amani karume. tukio hilo la siku ya ijumaa, tarehe 7 aprili 1972, liliigu
Mambo 15 Tunayokosea Wakati wa Kuomba

Mambo 15 tunayokosea wakati wa kuomba

🇹🇿 “mambo 15 tunayokosea wakati wa kuomba”, ni kitabu kinachoeleza makosa ambayo tumekuwa tukiyafanya wakati wa kuomba yanayosababisha maombi yetu yasijibiwe na mungu baba. pia, kinaeleza utofauti uliopo kati ya sala na maombi; na kina shuhuda za kweli za watu waliojibiwa maombi yao kwa kutumia mbinu ambazo mungu baba anataka tuzitumie wa
Kununuliwa kwa Damu ya Yesu

Kununuliwa kwa damu ya yesu

🇹🇿 kuhusu kitabu katika kurasa za kitabu hiki, tutajifunza kuhusu maana ya fidia ya dhambi, umuhimu wa damu ya yesu, na jinsi tunavyoweza kuishi kulingana na thamani ya ukombozi alioutupa. pia, tutachunguza jinsi damu ya yesu inavyotuletea ushindi, uhuru, na nguvu katika maisha yetu ya kila siku. kitabu hiki kina lengo la kuwaelimisha na kuwa
The Khumbars of Zanzibar

The khumbars of zanzibar

🇬🇧 crying, laughing, dancing pots highlights a smooth historical undertaking of zanzibarisation, par excellence. it offers a comprehensive exploration of the kumbhar community, a group that migrated from kutch, india, to zanzibar, approximately 300 years ago; and brought along their ancestral traditional art of pottery and other related skill